NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, February 3, 2009

MAGAZETI YA TANZANIA NA ....

Hii ni habari kuu (front page) ya gazeti la KIU la Februari 2-5, 2009. Mimi sikujua kama raisi Bush naye alikuwa anagombea uenyekiti wa chama cha Republican. Kazi ipo...(Picha za gazeti kutoka blogu ya Kennedy Kimaro)

2 comments:

  1. Nilikuwa naandika juu ya "waheshimiwa" waandishi wa habari wa nyumbani na kupumzika nikaona nikutembelee na nakutana na hii.
    Kama nilivyowahi kusema kuwa nikiwa kwenye media house moja nilifunzwa kuwa NO RESEARCH, NO RIGHT TO SAY / RIGHT. Huu ni zaidi ya udaku maana wapotosha ukweli kulingana na kilikikuta chama hicho wakati wa uchaguzi kutokana na yaliyotendwa na Rais huyo "aliyeangushwa".
    Kazi kwelikweli

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU