NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, February 10, 2009

TUNAELEKEA WAPI???

Kama tutawanyima watoto wa masikini (ambao ndio wengi) nafasi ya kujipatia elimu ya juu, tutakuwa tumewazika katika kaburi la kudumu la umasikini na kutoendelea; na utafika wakati Tanzania itaelemewa na uzito wa matabaka haya tunayojitahidi kuyajenga na kuyaimarisha. Mungu ibariki Tanzania!

3 comments:

 1. Ndugu yaani hili ni tatizo ambalo ni kubwa sana. Wenye uwezo wanapeleka watoto wao kusoma nje au wanawapeleka shule za english mediam hapa nchini au Afrika Mashariki popote. Sasa mmasikini wangu hata hapa kwenye shule za serikali hapati.

  Lazima tuanze kuongea na kutafuta njia tuone nini cha kufanya.

  ReplyDelete
 2. Heyza
  I did not want to leave your nice website
  without signing the guestbook.
  it is a lovely page you have
  Hug
  Miracela

  (¯`•´¯)
  ...`.•.,(¯`•´¯)
  ...(¯`•´¯).•´
  ....`•.,.•´
  .......I.
  .......I.
  .......I.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU