NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, April 23, 2009

KILA MTOTO AAMBIWE ANAWEZA - THE OBAMA STORY (NA DJ. GADHAFI)

Hii ni kuunga mkono mada ya Bwana Kaluse (bofya hapa) kwamba kufanikiwa na kutofanikiwa ni uchaguzi wetu wenyewe. The Obama Story ni uthibitisho tosha wa dhana hii. Kila mtoto na aambiwe kwamba anaweza na awezeshwe kufikia ndoto yake. Tutaona maajabu katika jamii!

2 comments:

  1. Vitabu viwili vya Obama vinaamsha ari kwa kila anayetaka kuweza!

    Umefika wakati wa waswahili waliofanikiwa (kama Prof. Masangu na wengine) kuhamasisha vijana 'kuweza' kupitia kurasa za vitabu!

    ReplyDelete
  2. Ile hoja ya Kaluse naiunga mkono sana tu!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU