NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, April 21, 2009

WANAMAGEUZI WANAOGEUKA

Wakati akianzisha sera zake za Utanganyika na magabacholi, mwanasiasa huyu alikuwa machachari na maarufu sana. Alikuja pale Chuo Kikuu Mlimani na alibebwa juu juu kutoka ukumbi wa Nkrumah. Leo hii hakuna mtu anayemchukulia kuwa siriazi na amegeuka kuwa "mropokaji" tu. Hata moto wa Lyatonga ambao ulikaribia kuwaunguza CCM sasa umeshazimika. Je, Wanamageuzi hawa wanaogeuka, wana nafasi yo yote ya kuchukua madaraka mwaka kesho?

1 comment:

  1. Ndugu matondo kusema ukweli umegusia suala muhimu sana inayohusu misimamo ya viongozi mbali mbali wa upinzani.

    Binafsi nasema hawa akina Mrema na Mtikila hawana nafasi katika uchaguzi ujao, kwani wameshafilisika kisiasa kwasababu ya kukosa misimamo.

    Nadhani ni busara yakutosha kwa mtu aliyepoteza umaarufu wa kisiasa kujitoa mara moja kwenye anga za kisiasa ili abaki kulinda heshima yake mbele ya jamii.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU