NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, May 1, 2009

MAJERUHI WA MABOMU YA MBAGALA

Watu hawa waliumizwa na mabomu yaliyokuwa yakiripuka hovyo katika kambi la jeshi kule Mbagala jana na hapa wanawahishwa kwenda hospitali kupata matibabu - wote katika mikokoteni! Magari ya wagonjwa yako wapi? Ingekuwa kijijini nisingeuliza lakini hata jijini Dar es salaam? Hata raia wenye magari, bajaji hakuna isipokuwa tu hii mikokoteni?

Picha ya kwanza kutoka Haki-Ngowi

1 comment:

  1. Napenda kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa na pia wajeruhiwa. Na pia wakazi wote wa Mbagala

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU