NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, June 24, 2009

MVULANA ALIYETAKA BAISIKELI KUTOKA KWA MUNGU

...na Mungu "alipokawia" kumpa hiyo baisikeli, alibadilisha mikakati. Mwanzoni nimecheka lakini nilipotafakari vizuri niliona kuna ujumbe muhimu kumhusu Mungu na jinsi anavyogawa mibaraka na misamaha yake kwa sisi waja wake. Naogopa kutafsiri nisije nikaharibu uhondo!
=== ==== === === ===
A priest was asking a young boy about his views on religion.

"Well, priest," the boy said.
"I used to pray for a bike, then I realized God doesn't work that way."

The priest nodded with approval. "What else, my child?"

"Well, priest," the boy continued

"Instead of praying for a bike, I stole one and decided to pray for forgiveness instead."

2 comments:

  1. sidhani kama ni kichekesho, ubunifu au kupotezwa kiroho tupotezwako na viongozi wa dini zenu hizi kuwa mungu anafanana sana na material forms than spiritual. kwamba miujiza imekuwa ni kupata vitu vya duniani kuliko kukua kiroho nk

    ReplyDelete
  2. Mkuu nadhani hii ni aina ya sanaa ambazo ni ngumu kwa watu kuielezea. Lakini katika imani naona mengi yamefanyika hata yale yasiyowezekana. Kwa mfano watu wamekuwa na mwitikio mkubwa katika masuala ya kujitolea katika makanisa kuliko hata majumbani kwao. Na ndio maana Nyerere aliona Ujamaa kama imani kwa sababu alijua watu wakichukulia Ujamaa kama imani mengi yatafanyika hata yale yaliyokuwa yasiyofikirika. Lakini mwisho wa siku Ujamaa ukaonekana ni "Utopian". Nice blog doctor Masangu

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU