NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, June 27, 2009

MAPENZI KWELI KAZI (KATUNI)8 comments:

 1. Huyo jamaa wa katuni ya kwanza kachemsha. Wakati mwingine kupiga domo sana kuna hasara pia. Hata mimi mtu akiniambia kwamba mume wangu ana kovu kwenye nanihii mbona nitamkwida hapo hapo? Asante kwa katuni hizi kwani zimenifanya nicheke sana. Wakati mwingine ni vizuri kuacha mambo siriazi na kuweka humor namna hii.

  ReplyDelete
 2. Wa mwisho naye kimbelembele tu. Ya nini kumsalimia mke wa Mmasai? Afadhali kapigiliwa mamishale

  ReplyDelete
 3. TEHE TEHE TEHE TEHE!!!

  ReplyDelete
 4. Kuna Mnyama Mmoja anaitwa NYEGERE au honey badger, huyu mnyama ndio anaongoza kwa wivu katika viumbe wote. wakati dume anamfuatilia jike kwa ajili ya kumpanda, jike akitembea yeye humfuata kwa kumzunguka zunguka na hataki kitu chochote kimguse huwa mkali na hata jani likimgusa jike wake ataling'oa

  ReplyDelete
 5. Asante Kaka Benet. Naenda kusaka habari zaidi za huyo mnyama. Umenipa maarifa makubwa saana na naamini ni msaada kwa sisi sote kuyajua haya.
  Blessings

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU