NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, June 9, 2009

MKAKATI SAFI WA KUVIMALIZA VITA VYA IRAQ HARAKA

Pengine hili ndilo suluhisho bora kabisa ambalo nimeshawahi kuliona kuhusu jinsi ya kuvimaliza vita vya Iraq haraka.
========================================
"Why are we still in Iraq? We could end this war tomorrow, it's simple. We build a Wal-Mart, McDonald's, and Krispy Kreme in every village in Iraq. A Starbucks on every corner, and a Hummer dealership in the middle of town. I say it is time we fight evil with evil. How long can you stay angry when you start every day with a hot, frothy latte and freshly glazed Krispy Kreme, driving a Hummer to your job at Walmart? Life is good. It wouldn't be long before they are just as fat and lazy as Americans"
Rand Harken (Mwanakomedi/Mchekeshaji? wa Marekani)

3 comments:

  1. Vita vingine ndio vitaanza kwa sababu wataanza kugombea hivyo vitu, na watatumia zile bunduki zilizobaki kwenye vita

    ReplyDelete
  2. mimi sielewi, sijui kama ishu ni kizungu au? maanake kichekesho kwa muzungu kinaweza kisiwe kichekesho kwa mbongo

    ReplyDelete
  3. Ndiyo, pengine ni Kizungu. Unajua hata "frothy latte and freshly glazed Krispy Kreme" ni nini?

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU