NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, June 8, 2009

NYUMBA YA KULALA WAGENI YENYE MASHARTI "MAGUMU"

Kama nyumba zote za kulala wageni zingekuwa na masharti "magumu" kama haya, (ambayo Mjengwa amesema kwamba yanakubalika hata Vatican) na zikayatekeleza, pengine zingeweza kutoa mchango chanya katika mapambano dhidi ya UKIMWI. Picha ni kutoka blogu ya Mjengwa.

2 comments:

  1. NI HAKIKA KUWA HAYA YAKIFANYIKA NA KUZINGATIWA TUTAPUNGUZA KUONGEZEKA KWA HILI GONJWA.

    www.harusiyetu.blogspot.com
    www.ajirazetu.blogspot.com

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU