NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, June 29, 2009

SIMU ZA MKONONI TANZANIA KUSAJILIWA KUANZIA JULAI MOSI

Inaonekana sasa ile tabia ya kumiliki namba za simu hovyo hovyo itapungua kama siyo kwisha kabisa. Hii itasaidia pia kuweza kumfuatilia mmiliki wa simu mathalani simu yake inapotumiwa vibaya mfano katika shughuli za kihalifu. Huu ni utaratibu mzuri kama kweli utatekelezwa kwa dhati!

2 comments:

  1. Wazo zuri lakini isije tu ikawa tena mtu kupata hiyo namba inabidi uhonge. Si unajua tena Wabongo.

    ReplyDelete
  2. Tusubiri tuone!Lakini na wasiwasi na zoezi hili!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU