NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, August 31, 2009

OBAMA NA NIKOLAS SARKOZY HAPA VIPI???

Hebu utupie tena jicho utafiti huu (hapa). Halafu Watupie jicho mzee mzima Obama na mwenzake Nicolas Sarkozy (Rais wa Ufaransa) katika hii picha. Picha hii "imetamuishwa" au ni picha ya kweli?

Picha imetoka kwa Kamala.

3 comments:

 1. Kaka hii picha ukiangalia video utagundua vitu vifuatavyo:
  1.Obama alikuwa anageuka nyuma kumsaidia huyo dada kwenye blausi nyeusi na sketi nyeupe/bluu ashuke ngazi.

  2. Sarkozy ndiye aliyemkodolea macho huyo binti

  Its funny though hehe

  ReplyDelete
 2. Alaaaa!!! Kuumbe!!! NA huyo mdada wa blausi nyeusi alikuwa na ulemavu mpaka ahitaji msaada wa mr prezida?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU