NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, August 29, 2009

WAMAREKANI WANAVYOHANGAIKA NA OBAMA WAO

Picha inajieleza yenyewe. Unaweza pia kutazama hapa na hapa.






4 comments:

 1. Kuna baadhi ya WaMarekani jamani ni wapumbavu, yaani ni pumba pumba pumba product! Ukikosea ukawasikiliza au kuketi nao, wanaweza kukukorogea habari hata kukuaminisha kuwa wewe si wewe bali umevaa mwili wa mtu mwingine. Na huo ni ugonjwa kwa kweli. Wanasema uongo, wanautunga na kuuamini na kutarajia kuwa utageuka kuwa ukweli. Ukiwazodoa kwa ukweli usiopingina, watatafuta jingine alimradi maisha yao yote ni chokochoko tu. Pathological liars wakichanganyikana na Haters and Racists.

  ReplyDelete
 2. DUH!

  Naona kweli duniani kuna wasiokubali kushindwa !

  ReplyDelete
 3. Ndiyo - Wamarekani hao. Bado wengi hawajaamini kama kweli wanatawaliwa na mtu mweusi/Mwafrika! Udaku, uzushi na maneno moja kwa moja. Lakini kama alivyowahi kusema Kitururu, angalau watu hapa wanajua kwamba huu ni udaku na hakuna anayeuchukulia maanani sana. Ingekuwa ni nyumbani sijui ingekuwaje. Fikiria gazeti litoke na "front page news" kama hizi anazohangaika nazo Obama. Naona itakuwa patashika nguo kuchanika.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU