NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, September 4, 2009

UJUMBE WA IJUMAA: HATA KAMA UNA NGUVU NAMNA GANI, LAZIMA KUNA MTU MWENYE NGUVU ZAIDI YAKO

(1) MIKE TYSON ALIYEKUWA AKIOGOPWA SANA....


(2) NA GEORGE FOREMAN ALIYEKUWA NA NGUVU ZA SIMBA...

 • Kumbuka, hata wewe, pamoja na nguvu na akili zako zote, lazima kuna mtu anayekuzidi nguvu pamoja NA AKILI. Be humble!!!

4 comments:

 1. yep. being humble and loving. hakuna nguvu zipitazo hilo. upendo na unyenyekevu ni noma. watu kama akina Nyerere walikuwa una unyenyekevu wa aina yao japo walipigana vita.

  Kristo aliweza kufanya yoote aliyoyafanya na kuendelea kuwa superstar kwa miaka maelf kwa sababu tu ya upendo, na unyenyekevu vilivyomuondolea kiburi na kumfanya kuwa msikilizaji mzuri na kueeweka pia. katika mafundisho yake na mahojiano, alisikiliza vizuri na hakushutumu. alitoa majibu matamu sana.

  however, listerning is better than talking. in love, we win everything andeveryone. bye loving, we win even the creator and bring him down to us.......Sant baljit SinghJi.

  ReplyDelete
 2. Masangu, una maana ya maguvu ya kulima ama hata akili?

  najua vyote hivo vinahitaji humbleness. Lakini ni ngumu braza kwani maisha yetu haya tunayoishi ni kama tupo tupo tu na bila undava mambo hayendi kabsaaa

  ReplyDelete
 3. Kamala, umesema kweli - na nimeyapenda hayo maneno ya Sant Baljit SinghJi. Nimemaliza kusoma kitabu cha "Power of Intention" kilichoandikwa na David Dweyer na nimejifunza mambo mengi sana. Yeye pia ni mtu wa utambuzi na anasisitiza mambo ya kumeditate ambayo anasema ni dawa bora kuliko zote inayoweza kuponya magonjwa na tabia zingine mbaya ambazo tunazitumia kama visingizio tu katika maisha yetu. Na juu ya yote UPENDO na kuwasaidia wengine pengine ndilo jambo bora kabisa ambalo binadamu anaweza kulifanya hapa duniani. Nakubaliana nawe kabisa. Mwezi ujao nachukua darasa la meditation kwa mwezi mmoja. Unashauri nichukue darasa la aina gani hasa kwani sijui cho chote juu ya meditation mbali na kufumba macho kama ulivyotuelekeza katika post yako ile ya kufumba macho halafu tuone "vitu". Mpaka leo siamini kama kuna mtu aliyeona kitu - pengine Chacha.

  Chacha. Maguvu ya kulima tu bila akili hayatatufikisha popote. Tutalima wee halafu wengine watakula.

  Nilikuwa nakumbuka mambo mazuri yenye funzo yaliyonitokea mwaka 2006 pale Dar es salaam. Nitaeleza kwa kifupi Jumatatu. Pointi yangu ni kwamba tusimdharau mtu kwani huyo unayemdharau (japo aonekane masikini, mchovu, mgonjwa, mzee...) namna gani, pengine anao welewa na uzoefu mkubwa kukuzidi wewe mwenye kiburi cha PhD. Undava ni sawa lakini ukiwa na mwanya kuruhusu falsafa hii mambo yatakuwa sawa.

  ReplyDelete
 4. matondo,
  sijui kama ninaushauri mzuri juu ya hilo kwani huko ndo waliko wataalamu zaidi. wewe anza na hilo ulilolichagua, harafu baadaye tutashea na ile nifanyayo mimi. nivyema tukajadili ukiishakuwa na uzoefu katika hilo na kama utatilia mkazo, mwezi mmoja ni muda muafaka sana.

  kwa kiasi kikubwa utambuzi na medutation niliyoanza nayo na ile niifanyayo sasa zinachimbuko kule nchini India lakini zimepitia Marekani kwa kiasi kikubwa na vitabu vingi nivisomavyo vimetokea huko Marekani. kwa hiyo anzia hapo kwanza. nikupongeze kwa uamuzi wa kuchukua mafuzo kwani hiyo ni hatua muhimu ya kukua au nisema umeanza safari njema ya kukua (evolve). raha ya meditation na maisha kwa ujumla ndo hivyo, subiri ujionee mweneyewe,
  CONGRATS

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU