NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, September 2, 2009

WASUKUMA HIVI NDIVYO TUNAVYOHESABU - SOLO, BILI, YATU...


Kikwenu mnahesabuje? Picha imetoka kwa dada Florah Lauwo

5 comments:

 1. kamwe, kabhere, katato, kane, katano, kasansabha, muhungate, monane, kenda, ikomi

  nadhani upo hapo ng'wanawane. kuna raha yake ukifika vila ukakuta wanatwanga malugha hayo, yee!!

  ReplyDelete
 2. kwa wenyeji wangu wao huhesabu hivi
  ichi, ni, san, yon/shi, go, roku, nana, hachi,
  kyu, ju.

  ahsante

  ReplyDelete
 3. Mumyhery, ni lugha gani hii? Kwa hakiki si Kibantu. Asante

  ReplyDelete
 4. labda ni kijepu cha kyoto

  ReplyDelete
 5. mami hao ni wenyeji wangu wajapani ambao wao huesabu kwa makumi, ikifika kumi atakwambi kumi moja na ishirinir ni makumi mawili

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU