NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, October 18, 2009

UKAHABA AFRIKA KUSINI NA KOMBE LA DUNIA MWAKA KESHO (VIDEO)

Nimeiona hii video katika CNN. Eti kuna wasiwasi kwamba kombe la dunia mwaka kesho litaifanya biashara ya ukahaba kushamiri zaidi Afrika Kusini. Hii ni haki kweli au ni kwa sababu kombe hili linafanyika barani Afrika kwa hivyo ni lazima hawa jamaa wachonge? Kwa kuwa ukahaba ni tatizo la dunia nzima, je, ulikuwa tatizo pia hata katika nchi zingine ambako kombe hili limeshawahi kushindaniwa? Au pengine hali ya ukahaba Afrika Kusini ni mbaya zaidi kuliko sehemu zingine duniani? Nimetatanishwa!

4 comments:

 1. kweli kabisa ila watakaoenda kufanya ukahaba afrika ya kusini sio wananchi wa huko. wengi watatoka ulaya. wamesahau brazil haikucheza vema mwaka 2006 kwa sababu kiungo mchezeshaji Ronaldino alikuwa anachepuka kwa guberi moja hivi kila usiku. ubaguzi wa rangi huu.

  ReplyDelete
 2. ukweli unauma kwa mtu anaeijuwa south Afrika huu ni ukweli mtupu wale watu bwana wanauza sio siri watanzania wenyewanawake zao wa south wataelewa nini nasema hata akiwa na mme ile ni biashara yao kabisa hutomzuia kufanya aibu kweli

  ReplyDelete
 3. So ina maana South Afrika kuna ukahaba wa kutisha kuliko sehemu zingine duniani? Mnaokaa South Afrika tuambieni please. Kama ni kweli wanawake wa KiXhosa nasikia ndiyo wanaongoza kwa kuwa na matako makubwa. Mnaweza kushinda temptations au ndiyo sababu South Africa kwa HIV inaongoza?

  ReplyDelete
 4. Ni kweli ukahaba utafanyika, lakini tuwaulize swali hao wanaolalamika. muuzaji na mteja, nani wa kulaumiwa? Au mfano mwingine ni wa mtoa na mpokea rushwa nani mkosaji?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU