NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, September 22, 2009

JINSI YA KUWAKAMATA MATAPELI WA NIGERIA - NA CHRIS HANSEN

Chris Hansen ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi na mtangazaji wa kipindi cha Dateline NBC hapa Marekani. Katika mfululizo huu anaonyesha jinsi matapeli wa Nigeria wanavyofanya utapeli wao. Unaweza kuona ubunifu wa matapeli hawa kwa kubonyeza hapa. Nashangaa mpaka leo hii watu wengi bado wanatapeliwa kwa njia hii. Kwa hapa Marekani inasemekana wazee waliostaafu ndiyo hasa wanatumbukia katika mtego huu wa Wanigeria. Ni kazi kwelikweli!No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU