NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, October 23, 2009

JK HAPA UMEGONGA POINTI!

Kutoka gazeti la Tazama la Jumanne Oktoba 20, 2009 via Mjengwa.

4 comments:

 1. It is true. Wabongo maneno mengi sana lakini matendo hamna. Watu wanategemea serikali iwafanyie kila kitu. Kupiga maneno na kulalamika nadhani Wabongo ni number one. You cannot develop that way.

  ReplyDelete
 2. WaTZ hawana "Ask not what your country can do for you - ask what you can do for your country" Nakubali. Mijitu mivivu inategemea kutendewa kila kitu na serikali. Ni kufuga mabusha na kupiga porojo vibarazani kuzungumzia politicians who are also busy with ufisadi. Ni vicious cycle isiyokwisha. If you blame the politicians, you must also blame the normal people who spend all the day vijiweni doing nothing. Development doesn't drop like rain from the sky. Wake up people!

  ReplyDelete
 3. Acheni zenu, watu wangapi wanafanya kazi na wanafanya biashara lakini hawajapata maisha bora mpaka leo hii? JK alitumia msemo huo kisiasa tu kupata kura lakini kashindwa kutekeleza. Utawala wa JK ni wa kulindana tu, rushwa imejaa, mafisadi wamejaa na ni rafiki zake wakubwa anawalinda na kuwatetea.
  We are tired, hakuna Maisha bora chini ya JK ni unafiki tu

  ReplyDelete
 4. OK, specifically, what do you want the government to do for you ili uendelee? To give you money or what? Even if it gives you money you will probably go buy a shangingi in order to raise you confidence level and status in the society. Too much talking no actions!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU