NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, October 2, 2009

MASIKINI MKAPA - MARA JOTO, MARA BARIDI.....PRESHA INAPANDA NA KUSHUKA!

3 comments:

 1. Wanavyozidi kumtetea wakubwa wenzake ndio jinsi wanavyomtia hatiani na jina lake linavyoingia dosari!

  Haya ndiyo mambo ambayo unaweza kukuta yakawekwa kiporo mpaka upinzani ushike hatamu kwa kuwa chini ya CCM siamini kama Mkapa atashitakiwa!

  Na hili ni moja ya sababu sidhani CCM inaweza kuachia upinzani upate nguvu.:-(

  ReplyDelete
 2. tuwaachie wapinzania tuchekwe! ebo!

  ReplyDelete
 3. Mshahara wa dhambi.... Mie naamini haki kuna namna fulani itatendeka tu. Kwanza kama alihusika kweli, kwa sasa haishi kwa raha wala uhuru, sasa ndio maisha gani. Ila kama wanamsingizia, basi yuko anachekelea kooni tu, na kuwaona wehu haoo

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU