NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, October 12, 2009

OBAMA KAZI ANAYO - JAMAA WANAFURAHIA ANAPOSHINDWA NA KUKASIRIKA ANAPOSHINDA

4 comments:

 1. Inaelekea kuna watu wana chuki binafsi na huyo rais wa Marekani, sitaingia kwa undani sana maana mwisho unaweza kusema maneno yasiyo faa. Lakini chema kinajiuza na kibaya ......

  ReplyDelete
 2. Kuwa mweusi ni kazi sana huko Marekani na sijui ubaguzi utaisha lini. Hata wenyewe wanakiri kwamba haijawahi kutokea raisi wa Marekani akaandamwa namna hii. Yaani mpaka inakatisha jamaa lakini Mjaluo inaonekana hababaiki na anapambana. Let us wait and see.

  ReplyDelete
 3. Wamejaribu mengi sana and in the name of GOD wameshindwa na wataendea kushindwa. Hii inaonyesha kwamba weupe hata ikawa nini hawataki weusi wala hawatawakubali kuwa weusi kama wanadamu. Hata ukiolewa na mzungu ukae ukijua deep inside wewe ni mweusi tuuu.

  Sitaongea mengi maana mengi yameshanikuta mimi na kusema kweli weupe ni watu wabaya sana. Na ndio kuna ambao wana miyoyo mizuri lakini wengi wao ndio hivyo.

  ReplyDelete
 4. Wewe wa mwisho umesema kweli kabisa. Mimi niliwahi kuolewa na mzungu lakini baadaye tuliachana. Ni wapole sana wanapokuwa Afrika lakini akikufikisha huku kwao basi mambo yanabadilika. Ni wabinafsi mno na ukiangalia vizuri utagundua kwamba hata ufanyeje you will always be black in front of them. Si watu wazuri kabisa na mabinti have to understand this. Wasikimbilie tu eti kapata mzungu. Yatakuja kuwatokea kama yalivyotutokea sisi.

  Bado hawajaamini kwamba kweli rais ni black na hawaamini kama kweli black man anaweza kuwa rais mzuri. Ndiyo maana wanafanya kila namna kumwangusha. Mpaka watu walikuwa na wasiwasi kwamba pengine watakuja kufanya assassination. Kazi kwelikweli watu hawa

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU