NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, October 31, 2009

MGENI WANGU KARIBU NYUMBANI, LAKINI.....

Eti, utajisikiaje ukitembelea familia yenye mkeka wenye maandishi kama haya mlangoni?

8 comments:

 1. duh, ndio maana siwatembelei watu ili kuuepuka umbeya na unyakyusa

  ReplyDelete
 2. Kwangu sitajisikia vizuri nitahisi kunyang'anywa
  uhuru wangu nadhani kuna haja ya kuwa makini na maandishi
  tunayoweka ukutani pia

  ReplyDelete
 3. mintakosa uhuru kabisa kamanilipanga kukaa sana sitoweza tena ntaondoka mapema..

  ReplyDelete
 4. Nawafurahia walioweka hili tangazo, maana wambeya hawana dogo.

  ReplyDelete
 5. Waswahili wamezidi umbea na roho mbaya. Kujihami namna hii ni vizuri. Mikeka hii inapatikana wapi? Mimi nitanunua hata kumi na kuwagawawia bure niwapendao. This is cool!

  ReplyDelete
 6. mimi wala sitajari mkeka nitajari kilichonipeleka na kama nikikuta maruweruwe wala sitasita kusema niendako kwani kelele za chura humzuia ng'ombe kunywa maji??

  ReplyDelete
 7. Duniani lakini kuna wengi wanaoathirika ki-reverse psychology.

  Kwa kuweka hilo bango kuna watu ambao kwa kawaida hawaongei ya watu ila watajisikia kuongea ya kwako na kianzio itakuwa hicho walichokisoma kiwaonyacho wasiongelee ya hapo.

  Na kama nyumba yako haina mambo ya ajabu unaweza kumfanya mgeni aanze kuchunguza mpaka vitu vya kawaida [mf:toni ya sauti...] akaanza kuhisi vinaujazo wazaidi. Au tu ukamfanya astukie mpaka wale buibui chini ya kochi ambao wala asingekuwa mdadisi wa mpaka huko kama usingemtisha kwa kudai kuhusu ya nyumba yako aendekeze usiri.:-)

  ReplyDelete
 8. Hahahahaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
  Hii si ajabu. Ama kwa kuwa imeandikwa kwa kiswahili????
  Yaani hiyo ni kama VEGAS wanakosema "what happens in Vegas, stays in Vegas"
  Huyo kaweka kwa lugha angalivu na nyepezi zaidi ili aweze kueleweka.
  Hahahahahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
  Natamani ingekuwa ni "bumper sticker"

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU