NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, October 30, 2009

UKIWA ROMA FANYA KAMA........

Ni Madame Secretary Hillary Clinton huyu akiwa Pakistan jana7 comments:

 1. Ukikuta watu wanatembea uchi nawe huna budi kutembea uchi.

  ReplyDelete
 2. Yasinta hiyo ni tafusiri ya moja kwa moja...

  jamani jifunzeni lugha za picha au nahau au misemo...nk

  ReplyDelete
 3. Hivi ni Watanzania wangapi wanajua ni vazi gani ni la Kitanzania?

  ReplyDelete
 4. Nimemkubali mama Clinton, nakubaliana na Yasinta kabisa. Kitururu swali lako linaonekana jepesi lakini lina maana kubwa. Naomba nirudishe swali kwako, Je vazi gani ni la kitanzania?

  ReplyDelete
 5. We Anony...humtambui Yasinta nini? Shauri yako!

  ReplyDelete
 6. Kuna kipindi kulikuwa na vuguvugu la kuwa na vazi la kifaifa. Tulipiga hatua? Kama jibu ni ndiyo lipi ni vazi la kitaifa

  ReplyDelete
 7. Ngw'anawane, Vazi la kiTz ni vimini na kata-K...lol!

  Sasa unashangaa nini mbona wabunge na mawaziri wetu wanavaa hivo?...lol

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU