NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, October 6, 2009

TUNAPOKUNWA NA KIIMBWACHO WAKATI HATUJUI KIIMBWACHO

Ati, inatokeaje tunavutiwa na nyimbo ambazo wakati mwingine zimeimbwa katika lugha tusizozifahamu? Kwa nini tupende miziki ya Kongo wakati wengi wetu wala hatufahamu kinachoimbwa? Kwa mfano mimi napenda sana nyimbo za Marehemu Madilu MultiSysteme na sielewi HASA ni kwa nini!2 comments:

  1. Hata mimi sijui ni kwa nini ninapenda nyimbo za Kongo. Pengine ni kufuata mkumbo tu

    ReplyDelete
  2. Japo kila mtu anaweza kuwa na mtizamo wake kuhusu kuvutiwa na mziki au sana zinginezo. Kufuatia hili la wengi wetu kunaswa na sana ya mziki wa Kongo ni maalumu.

    Kwa upande wangu mimi huvutiwa na na lugha ya kilingala ambayo huwa na ladha yake ya kipekee kwangu, pili ni mpangilio wa ala za musiki na sauti nzuri za wasanii. Huwezi amini najifunza Kilingala na kifaransa online mwenyewe kwani hizi ni lugha ambazo zinanivutia sana mimi maishani kwangu.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU