NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, October 24, 2009

UTAFITI: UBAGUZI (WA RANGI) HUANZIA UTOTONI

 • Watoto wenye umri wa miezi sita tu huanza kubagua.
 • Hata sisi weusi tunawabagua wenye rangi tofauti.
 • Inavyoonekana kila mtu ni mbaguzi.
 • Cha kushangaza ni kwamba, sisi weusi pia tunabaguana sisi kwa sisi.
 • Soma makala hapa.

3 comments:

 1. Watu wote ni wabaguzi ila mimi siyo mbaguzi!

  ReplyDelete
 2. sidhani kama ni ubaguzi,nadhani huyu mtoto hajazoea kumwona huyo mgeni,so hata kama angekuwa ni mzungu sura ingekuwa ngeni kwa mtoto bado mtoto angelia

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU