NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, November 24, 2009

KUTONGOZANA GIZANI

  • Wanawake na wanaume ambao wako "single" na ambao ndio mara yao ya kwanza kuonana wanakusanyika katika chumba halafu taa zinazimwa. Mtindo huu umeanzia kule Atlanta na sasa unaenea sehemu zingine.
  • Maongezi yote yanafanyika gizani. Baadaye taa zinawashwa na kwa mara ya kwanza watongozanaji hawa wanaonana kwa mara ya kwanza.
  • Lojiki ni kwamba ukivutiwa na mtu gizani bila shaka utavutiwa naye zaidi katika mwanga.
  • Wengine wanasema mbinu hii ni nzuri na wengine wanapinga.
  • Tazama video hapa. Mimi nadhani huyo jamaa kwenye picha hapo juu ana uhuru zaidi wa kumwaga beti zake kuliko haya mambo ya gizani.

2 comments:

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU