NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, November 9, 2009

MISA ZA MBWA ILI KUVUTIA WAUMINI WAPYA MAKANISANI

 • Kwa watu wengi wa nchi za Magharibi mbwa ni sehemu ya familia na ana haki sawa na memba mwingine ye yote katika familia. Mbwa anaweza kuwa na bima ya afya na hata kuachiwa urithi; na anapofariki basi familia nzima huomboleza na kumzika kwa gharama kubwa.
 • Ili kuvutia waumini wapya, hivi karibuni makanisa kadhaa hapa Marekani yameanzisha misa maalum kwa ajili ya mbwa. Misa hizi zinadumu kwa nusu saa ambapo mbwa huombewa wakiwa wamejilaza vitandani huku wakifaidi vitafunwa mbalimbali. Kwa habari zaidi kuhusu habari hii gonga hapa.
 • Kwetu sisi Waafrika jambo hili linaonekana kama vile utani na sijui Wakristo wana maoni gani kuhusu misa za aina hii. Kazi kweli kweli!

4 comments:

 1. Chacha o'WamburaNovember 9, 2009 at 6:26 PM

  labda huku kwetu utamaduni wetu ni tofautitofauti...ukiamua kufanya kama hivo basi Uheheni itakuwa kama visa vya zeruzeru...lol

  usukumani na unyamwezini labda kuombea fisi...lol na ikitokea hivyo ntaacha kuitwa Ng'wana-mbiti...lol

  Ukuryani kuombea ng'ombe...lol

  ReplyDelete
 2. swali lako limeelekezwa kwa wakristo and I wish I was a good christian to comment on this. Praise the.....

  ReplyDelete
 3. Ukristo unafurahisha sana.Mara maaskofu mashoga, mara mapadri kulawiti vitoto vidogo na sasa misa za mbwa. Mbona mambo haya hatuyaoni kwenye Islam and still Islam is the fastest growing religion?

  Christianity is real in poor shape. And don't be surprised to find there is a special Bible for dogs!

  ReplyDelete
 4. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambitiNovember 10, 2009 at 6:12 PM

  wajameni, hayo yote ni kwa ajili ya 'ankara' a.k.a vjisenti....lol

  kwani nani anajua kama dog zinakwendaga mbinguni ama jehanamu?....lol
  Mt Simon tuthaidiye bathi kujibu kama dog zinakwenda mbinguni ili tuzipe majina ya watakavitu...lol

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU