NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, November 5, 2009

MPARE ANAPOJARIBU KUIENZI LUGHA YAKE

6 comments:

 1. Mimi nilifikiri tumeanza kupoteza majina yetu ya asili, kumbe na lugha imesha anza kuingiliwa na virusi ha ha haaa

  ReplyDelete
 2. Bwana weeeeeeeee umeniacha hoi kweli lugha imeharibika na kama so kutengeneza t chao mpare wangu umewahi sana endelea na usomi wakoooooo umenikumbusha mbali

  ReplyDelete
 3. Hapo katuni imetudaka Wapare!:-)
  NI kweli Wapare wengi niwasikiao hasa ndugu zangu huchanganya Kiswahili , Kingereza na Kipare wakati wanadai wanaongea Kipare.

  Kwa mtazamo wangu hasa Upareni Vijijini ukiingizia Kiswahili kwenye Kipare unaonekana mtoto wa mjini ,na ukiingizia na Kiingereza -unaonekana ni Mpare lakini mtoto wa mjini na umekwenda shule.

  Kazi ipo!

  ReplyDelete
 4. Chacha o'WamburaNovember 6, 2009 at 8:11 AM

  kwa mara kwanza nimeona Mt simon amefurahi...lol

  Masangu, ukipata na ya kikurya tuwekee kibarazani...lol

  ReplyDelete
 5. Yeroni! Hii ni Clathic (classic), avae.

  ReplyDelete
 6. Kipare never die.. Even though there new vocabulary have been added.. That we say is CODEMIXING.. Jaman huu ni utaratibu wa kila lugha katika kukua kwake, kwahiyo ili kupata misamiati mbalimbali lugha inawajibika kutumia mfumo wa kuchukua maneno kutoka lugha zingine kama kiingereza,kiswahili, ama lugha yoyote ya kibantu. Hivi ndivyo hata lugha ya kipare inakuwa kupitia lugha zingine.. Kwa mfano: mtu anaweza kusema, "mambo etonga'the? "mambo ereho thupa. Ukijaribu kuangalia maneno ya mwisho ya sentensi hizi ni ya kiingereza japokuwa yameandikwa katika mpangilio tofauti.. Hii inathibitisha kuwa "kipare" kinakuza msamiati... It's me lecturer Frank Mndeme.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU