NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, November 13, 2009

NINAPENDA SANA MCHEZO WA MASUMBWI/NDONDI KWA SABABU....

...ni mchezo ambao unauonyesha "u-Homo Sapiens" (au pengine niseme "u-Zoanthropy") wa binadamu kwa ufasaha mno! Hebu wasikilize "Homo Sapiens" wanavyoshangilia "Homo Sapiens" mwenzao anapofletishwa.

3 comments:

 1. Mimi naona ni mchezo wa ukatili sana!!

  ReplyDelete
 2. Hao watangazaji wanaonekana kuwa na very happy mtu anapokuwa knocked out. Sijui kama wao wangeingia ingekuwaje. Ni mchezo hatari lakini nadhani unaonyesha who real human beings are - ANIMALS

  Imebidi nitafute kamusi ili kujua Zoanthropy ni nini - kumbe ni ile tendency ya mtu kujiona kuwa yeye ni mnyama. Human beings are animals and boxing is one of the games that proves it! Love the knockuts

  ReplyDelete
 3. Nami ntaingia kwenye MKUMBO wa wenye matatizo, hasa kwa video ya pili.
  Jamaa yuko soooo automated kiasi kwamba anaendelea kurusha JABS hata baada ya kuwa knocked out.
  Sina hakika na ULALAJI WAKE maana anaweza kumgeuza mkewe punching bag.
  Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  And that's why i loove boxing

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU