NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, November 20, 2009

SOKA LA WANAWAKE: BYU VS NEW MEXICO (SEKUNDE 40)

  • Mechi hii ilichezwa tarehe 5/11/2009. Wenye jezi nyekundu ni New Mexico University (NMU) na wenye jezi nyeupe ni Bringham Young University (BYU)
  • Huyu mchezaji korofi jina lake ni Elizabeth Lambert wa NMU. Cha ajabu ni kwamba pamoja na "vituko" vyote hivi hakupewa kadi nyekundu. Hata hivyo ameshafukuzwa katika timu hiyo.
  • New Mexico, pamoja na Elizabeth Lambert wao, walilazwa 1-0 na hivyo kutolewa katika mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU