NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, November 24, 2009

TAREHE 21/12/2012 - SIKU YA MAAFA NA MAANGAMIZI?

  • Niliwahi kuligusia jambo hili kwa kifupi hapa. Jana kulikuwa na kipindi katika History Channel ambacho kiliongelea suala hili kwa kina kwa mtazamo wa kisayansi. Ni wazi kwamba wanasayansi mbalimbali wakiwemo wanaastronomia wana wasiwasi pia na jambo hili.
  • Sikiliza sehemu ya mwanzo ya maelezo hayo ya kisayansi hapa chini. Hapa Marekani tayari kuna watu ambao wameanza kujiandaa kwa kujikusanyia chakula, silaha na kujenga ngome za chini ya ardhi.


  • Kutokana na wasiwasi wa jambo hili, sinema ya 2012 imekuwa mojawapo ya sinema zilizofanya vizuri sana hapa Marekani. Tazama utangulizi wake hapa. Nimeshaitazama na ni muvi nzuri - na niliwaona watazamaji wengine wakiwa na nyuso za huzuni na hata kudondokwa na machozi.
  • Sisi nyumbani Afrika, tunapaswa kuwa na wasiwasi na jambo hili na hata kuanza kujiandaa?

1 comment:

  1. Pengine kuna ukweli ingawa mimi nadhani ni porojo tu. Ni kama ile Y2K. Afrika tujiandae nini. Sisi tunangoja tu

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU