NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, November 15, 2009

UTAFITI: WAGONJWA WA UKIMWI WANAISHI MAISHA MAREFU LAKINI WANAZEEKA MAPEMA

 • Inaonekana madawa ya kuongeza nguvu kwa wenye VVU yana athari nyingi, zikiwemo usahaulifu, maumivu ya neva na kuzeeka mapema. Isikilize ripoti hii hapa chini. Tangu hapo kinga ni bora kuliko kuponya ati!
 • Isikilize ripoti kuhusu jambo hili hapa.

  1 comment:

  1. Nanukuu ''Inaonekana madawa ya kuongeza nguvu kwa wenye VVU yana athari nyingi, zikiwemo usahaulifu, maumivu ya neva na kuzeeka mapema.''

   Sijui kwanini nahisi hili tatizo lilikuwepo hata kabla ya UKIMWI.:-(

   ReplyDelete

  JIANDIKISHE HAPA

  Enter your email address:

  Delivered by FeedBurner

  VITAMBULISHO VYETU