NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, November 11, 2009

WAHAYA NA SENENE ZAO...

 • Ninapenda senene. Nilikuwa nawapenda sana wakati ule nikisoma kule Kahororo Bukoba.
 • Nilikuwa sijui kwamba ni chakula kizuri kilichokamilika mpaka nilipokutana na ukweli huu kutoka "Totally useless facts"
 • Totally useful fact: A pound of grasshoppers is three times as nutritious as a pound of beef!

4 comments:

 1. duh, hadi mama mmoja aliimba wimbo wa kutukuza hawa wadudu. hawa ndiko "engagement ring" ya wahaya kwani lazima ifanywe taratibu hapo.

  na sasa kama sio msimu wa senene kule bukoba basi unakaribia, ni wengi na watu wanmakula na siku hizi ni biashara sana, yaani zinalipa. ila kidume sishiriki tena kuwala hawa jamaa hata kama ni utamaduni wangu

  ReplyDelete
 2. Kamala, kwa nini umeacha kula senene? Wana ubaya gani kiafya? Najua huli nyama - hata senene pia?

  Unakula vyakula gani na kwa nini? Tufundishane. Wewe ni mtu wa utambuzi na usisite kutujuvya haya mambo. Unao wanafunzi wengi tena makini sana; na mimi ni mmoja wao!

  ReplyDelete
 3. Kamala basi ile safari ya Sweden ya kukaa miezi mitatu uiahirishe. Maana hapa kwangu ni Senene tu....lol

  ReplyDelete
 4. yasinta nakuja tu hata kama ukiniweka njaa.\


  matondo, nadhani sababu ziko kwenye makala zangu za chakula zilizzopita katika kijiwe chetu pale. labda ipo siku nitarudia lakini wewe endelea tu kula wala usiogope kama unaona inafaa pia mpaka pale utakapoona haifai

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU