NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, December 21, 2009

ATI, ULITABASAMU LEO???

4 comments:

 1. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 24, 2009 at 4:28 PM

  Sijatabasamu bali nimecheka kwa picha ya huyo bebii....lol

  ReplyDelete
 2. Kwako Kaka na familia
  Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nawatakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
  Baraka kwenu

  ReplyDelete
 3. Wapendwa;
  Asanteni sana kwa salamu na heri zenu za Krismasi. Nanyi nawatakia kila lililo jema. Hebu basi mwaka ujao (2010) na ukawe na neema na shangwe tele kwenu na wapendwa wenu. TUKO PAMOJA DAIMA!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU