NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, December 30, 2009

HATA GOOGLE???

7 comments:

 1. Profesa Masangu, hii kali kweli, nimecheka hadi mbavu zinavunjika. Kila kitu kibaya mwafrika, au ndiyo mbinu za mkoloni kuendelea kutugandamiza. Maana kila kitu kibaya ni mwafrika, IQ ndogo mwafrika, maradhi, umaskini mwafrika.

  ReplyDelete
 2. Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh GOOGLE!!!! Not nice

  ReplyDelete
 3. Naam, profesa Matondo, Google ndio imemaliza ubishi :-)

  Ila kusema kweli, nami nimevunjika mbavu kabisa. Shukrani kwa kutuletea hii taarifa.

  ReplyDelete
 4. Hapa naona mawili.
  Moja ni kilichotokea na pili ni ulivyoweka kitendawili. Yaani kichwa cha habari chatafakarisha kisha unaona kizungumzwacho unagundua mwandishi kataka "umalizie mwenyewe"
  Sijui kwanini nacheka?
  Inauma jamani.
  Asante kaka kwa hili

  ReplyDelete
 5. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 31, 2009 at 9:34 AM

  @ Malkiory: siyo mwafrika bali mutu NYEUSI....lol

  ubaguzi kila sehemu...itajafika wakati ATM zikawa zinabagua kutoa pesa kwa kutumia rangi na hapo itabidi watu weusi watumie zile krim zinazobadili ngozi....lol

  ReplyDelete
 6. Asanteni. Nilikuwa nimepotea kidogo. Pilikapilika za mwaka mpya zilinifanya niikimbie kompyuta japo kwa muda. Sasa nimerudi na natumaini kwamba nyote mlikuwa na sikukuu njema na kwamba mwaka mpya umeanza vyema sana.

  Mtu mweusi anaandamwa kila mahali na kila kona - kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anajiandama na kujibagua! Mmarekani mweusi anambagua mweusi kutoka Afrika au Haiti, Mtanzania anambagua Mtanzania mwenzake n.k. Kazi kweli kweli!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU