NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, December 8, 2009

JAMANI...NI MWISHO WA MUHULA...

  • Ni mwisho wa muhula (tunafunga shule kesho kwa wiki tatu) na kazi zimepamba moto kwelikweli. Hata wanafunzi wale wazembe na watoro sasa wako kila mahali wakiulizia watakavyoweza kupata kufanya vyema katika mitihani yao ya mwisho na hatimaye kuweza kupata alama nzuri. Kazi kwelikweli!
  • Nitarudi kama kawaida wiki kesho au baadaye wiki hii.

1 comment:

  1. Kila la kheri. Ila usichelewe sana kurudi. wengine hatuna hiyo likizo kazi kama kawa. Likizo njema.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU