NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, December 3, 2009

SHIDA YA MAJI YA KUNYWA VIJIJINI - TATIZO LA KUJITAKIA?

 • Swali hili limezuka baada ya kuyasoma maoni ya Profesa Mbele hapa; na kuziona hizi picha.
 • 3 comments:

  1. Kama ni hivi basi kinachotuua ni ukosefu wa moyo wa uzalendo na ubinafsi ambao nao unazaa UFISADI. Mtu anaona raha kuiba na kuficha mahela yote hayo na huku wananchi wanahangaika. Hawa wakifa hawa sijui wanakwenda wapi hawa

   ReplyDelete
  2. Poor mzee wa vijisenti!!!!!!!!

   ReplyDelete
  3. Tatizo lako kaka Masangu unawaza tofauti kabisa na wanavyowaza viongozi wetu, ndiyo maana wewe si Mwanasiansa na Kiongozi, japo ungekuwa Kiongozi na kuwaza hivyo, ungeisaidia jamii kwa kiasi kikubwa. Ngoja nitakwambia na jingine, mtu ameniambia, Subi tatizo lako unaipenda sana Tanzania, utazidi kuumia tu kwa hilo, basi nami nikwambie Prof Matondo, tatizo lako unaipenda sana Tanzania na kwa hivi utaendelea kuumia. Ila ukiniuliza ni kwa nini nisiache kuipenda Tanzania sina jibu na wala sitaki kuwa nalo kwani ndiko iliko roho yangu, ndugu, jamaa na rafiki. Hakuna namna nitaacha kuipenda Tanzania hata iweje.

   ReplyDelete

  JIANDIKISHE HAPA

  Enter your email address:

  Delivered by FeedBurner

  VITAMBULISHO VYETU