NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, December 29, 2009

USIJE UKASEMA KWAMBA HUKUONYWA.....

4 comments:

 1. Tatizo linaloweza kujitokeza ni la kumfanya Malaya ajiandae zaidi kimuonekano na kistaili tu ya presentesheni iwezayo kusababisha aliyeonywa kwa kudhania anakwepa, adakwe kirahisi zaidi na `´Prostitute´´ ambaye kakubuhu zaidi BILA aliyeonywa kustukia kwa kuwa Malaya Mhusika haonekani kama onyo lidaivyo.


  Lakini kwa mtazamo mwingine hilo tangazo ``attenzione prosttitute´´ kama linafanana na la ``Koka KOLA baridi hapa´´ si linaweza lisiwe ni onyo ila ni kivutia wateja- likiwa namaana bidhaa hiyo kama unaihitaji mahali pake ndio hapa ?

  ReplyDelete
 2. Mwingine atakwambia "hajaelewa"...it is in Spanish...(isn't it?)

  ReplyDelete
 3. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 30, 2009 at 2:13 PM

  yawezekana isiwe maonyo bali matangazo ya biashara pia....lol

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU