NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, January 4, 2010

"MAUAJI YA HALAIKI" YA WATOTO TANZANIA KUPITIA LUGHA YA KUFUNDISHIA...

  • Nimevutiwa na jina la kitabu hiki. Kuna aliyekisoma? Kinapatikana madukani? Nakitafuta sana!

  • Mwandishi wake ni mmojawapo wa watu muhimu sana katika fasihi ya Kiswahili.

1 comment:

  1. Nami nina hamu ya kujua MAUDHUI yake maana ni kama utetezi wa matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo waTanzania wengi wanaitumia na kuijua na si kulazimisha kiingereza ambacho wengi waachiao sekondari hawaitumii
    Nawaza na kujifanya mtabiri
    Baraka kwako

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU