NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, January 4, 2010

NANI ALISEMA ETI WAAFRIKA SI WADADISI?

 • Unaiona hii pool table? Si ajabu ukakuta hata wana sheria zao wenyewe zinazoendana na mazingira yao...

 • Nilikuwa mbali na kompyuta kwa siku kadhaa na sasa nimerudi. Libeneke kama kawaida...Natumaini nyote mlikuwa na sikukuu njema. Hebu basi mwaka mpya (2010) na ukawe na mafanikio kwenu nyote!

3 comments:

 1. Nani alisema Waafrika si wagunduzi? aje hapa nimcharaze viboko shwaap shwwaap akalale huko. teh teh teh, hii sasa ni ugunduzi au walikopi pulu tebo za wadhungu?

  ReplyDelete
 2. We Subi wewe, nani kasema wamegundua? Tumesema wamedadisi wakajua namna ya kutumia walichonacho kupata kama cha wenzao. Huku ni kuyakabili mazingira. Hahahahaaaaaaaaaaa
  Karibu tena Kaka
  Baraka kwa wote

  ReplyDelete
 3. Da Subi pengine yuko sahihi. Nilitumia neno wagunduzi mwanzoni lakini baada ya dakika kama tano hivi nikabadilisha na kuweka wadadisi. Da Subi ni mwanachama wa blogu hii na pengine alipata ile post ya kwanza yenye neno wagunduzi. Kwa hivyo namtetea Da Subi hapa. Umesikia Mzee wa Changamoto? Hahahahahaaaa! Asante kwa kunikaribisha!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU