NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, January 17, 2010

PHOBIA ZINGINE KIBOKO!!!

Hippopotomonstrosesquipedaliophobia - hii ni phobia ya maneno marefu. Unayo?

4 comments:

 1. Ukitamka hili neno mara tatu na ukalipatia vizuri lazima ukapate supu kupoozea makali

  ReplyDelete
 2. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!January 17, 2010 at 11:15 AM

  kabla ya yote, nahitaji kula ugali wa mtama ili nipate nguvu za kutamka maneno hayo :-(

  ReplyDelete
 3. Nilidhani ni alphabets. Kumbe ni neno? Mie sina na sidhani kama naitaka phobia hiyo.
  Duh!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU