NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, January 26, 2010

UTAFITI: KUMBE UMBO LA KIBANTU (A.K.A UMBO NAMBA NANE) LINA FAIDA ZA KIAFYA!!!

 • Wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza wanasema kwamba umbo la Kibantu (a.k.a umbo namba nane) lina faida nyingi za kiafya. Wamethibitisha kwamba kunenepa mapajani, makalioni na katika mahips husaidia mtu asipate matatizo ya kiafya kama magonjwa ya moyo.
 • Wakati huo huo kuwa na mafuta katika mzunguko wa tumbo (mf. kitambi), kunaongeza hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo na sukari. Kwa maelezo mazuri zaidi katika Kiswahili kuhusu utafiti huu soma hapa. Ripoti ya utafiti huu inapatikana hapa.

 • Masuluhisho: (1) Hakuna haja ya kuogopa kuwa na umbo la Kibantu. Hili ndilo umbo hasa la mwanamke wa kiafrika! (2) Tupunguze vitambi na mafuta ya tumbo.

7 comments:

 1. Bingo kwa watu wa umbo number nane...no Pressure tena.

  ReplyDelete
 2. Kaka chonde chonde. Wasema tunenepe makalio hata akina kaka? Na popo bawa vipi hapo?
  Mugumo munene

  ReplyDelete
 3. Anony. unachekesha. Akina kaka nao wana umbo namba nane? Akina kaka vitambi havitakiwi. Soma utafiti vizuri...Akina dada matako makubwa hayana noma. Hii imenifurahisha sana

  ReplyDelete
 4. mungu atusaidie wabantu, ila likizid inakuwa kero hata kutembea uwez inapaswa kuwa wastan

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU