NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, January 26, 2010

WATOTO HAWA WATAKUWA WATU WA AINA GANI WAKIKUA?

(Picha: Google)
 • Wanasaikolojia wengi wamekuwa wakijiuliza athari za propaganda hizi za chuki katika maisha ya baadaye ya watoto hawa. Ni sawa kweli kushirikisha watoto wadogo namna hii katika kampeni za chuki? Wanaelewa kweli hata kinachoendelea hawa?

6 comments:

 1. Is that "FAG", cigarettes?...Personally wangeandika another slogan cause I feel it is a bit too strong for children to wear a message like that. Huku ipo campaign ambapo watoto wanaimba "I'll do anything for you", so they want "you" to do something back by stop smoking.

  Just something creative and nice that goes with the character of being a child...Just not so "harsh" like this...that's my opinion anyway

  ReplyDelete
 2. Candy1 - Hapana siyo sigara bali ni mashoga. Hilo kanisa linapigana na mashoga waziwazi. Sijui kama ni sawa kushirikisha watoto katika harakati kama hizi kwani sijui hata kama wanafahamu hao mashoga wenyewe ni watu wa aina gani.....

  ReplyDelete
 3. Duh,naamini ushoga si jambo jema ila watumie njia sahihi za kuwashirikisha hawa watoto kutambua ubaya wa "Ushoga"
  Ila! USHOGA si jambo jema!!!!!Huenda wako sahihi.
  Huenda wako sahihi ?

  ReplyDelete
 4. changamoto hii! kwanza kiutambuzi tunaamini kuwa ukionacho, ukitamkacho na ufikiriacho ndicho kikutokeacho! kwa hiyo watoto muda wote kuona neno hilo kunaweza kuwafanya nao kuwa hivyo kwani mawazo yetu ya kina hushughulikia zaidi mambo tunayoyaona na kuyajaza kwenye bongo zetu bila kujali kuwa nataka au sitaki, nachukia au napenda nk hata biblia kwa wanaoiamini na kuihusudu japo hawaiishi kama matondo, inatuonya kuwa kimtokacho mtu ndicho hujaza moyo wake, mithali.....

  kanisa kupinga watendadhambi au mashoga ni kumpinga Kristo aliyedai kuwa alikuja kwa ajili ya watenda dhambi na mashoga wakiwemo na kutua limfano kuwa aliyemzima hahitaji daktari!

  ushoga utaenea tu unajua kanisa/dini huanza kwakupinga mambo mapya lakini baadaye huja kukukmbatia. unadhani nini kitatokea kama watu wengi duniani wakiwa homosexuality?? kanisa likiwapinga si litakosa waumini na likikosa waumini aka wafuasi si litakufa? si itabidi libembeleze mishoga ijae kanisanai mradi idanganyike kutoa sadaka? hata kama ikidai iwe na vyumba kanisani ili ikimaliza ibada ikakandamizani, kanisa litakubali.

  kwani ni upuuzi lukuki ulazimika kukubaliwa na kanisa na sasa utadhani uliazishwa na kristo! sitoi mfano. kama wakatoriki kuzuia watakatifu wasioe au wasiolewe, unauhakika hawajui utamu wa ngono umtoa matondo mate hata machozi?

  msimamo wangu kuhusu mashoga ni kwamba waache wafanyane, wakichoka wataacha! dhambi tamu!!!

  ANGALIZO, SIKUWAHI HATA SIKUMOJA NA SITOWAHI KUFIKIRIA KUMGEUZA MWANAUME MWENZANGU AU HATA MKE ETI URODO! UKE TENA WA MKE WANGU PEKEE UNANITOSHA. NIWAPO MBALI NAYE KAMA SASA NAMFIKIRIA NA KUMMISS YEYE!

  ReplyDelete
 5. Huku nako ni kupitiliza sasa. Sasa sijui wakiuliza wazazi wao hivi Masho/ Ushoga ni nini wazaziwao huwajibu nini.

  Ukereketwa mwingine unapitiliza yani.:-(

  ReplyDelete
 6. Kamala - unafikiri shoga wa waziwazi lakini milionea atakemewa kanisani? Hata hili kanisa lenye msimamo mkali la huyu baba si ajabu likamezea tu. Pesa amegeuka kuwa mungu anayeendesha kila kitu....Isitoshe makanisa mengine sasa yanawapadrisha mashoga...

  "UKE TENA WA MKE WANGU PEKEE UNANITOSHA. NIWAPO MBALI NAYE KAMA SASA NAMFIKIRIA NA KUMMISS YEYE!"

  Udumu msimamo wako huu. Nimeupenda!

  Bwana Mnzava - inawezekana wako sahihi lakini siamini kama kutumia watoto wadogo namna hii ni sahihi. Na kama alivyosema Kamala hapo juu - inawezekana wakawa wanaharibu badala ya kurekebisha!

  Mtakatifu sana Mwadhama Kitururu - Ni kweli huu ukereketwa umepitiliza!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU