NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, February 25, 2010

ATI, HAWA WAKIZEEKA INAKUWAJE???

Ni katika ile patashika ya kumwangalia binadamu - mnyama tata asiyemaliza vituko!


Ati huyu chini ni mwanamke (Asante Mzee wa Changamoto kwa link!)

6 comments:

 1. mwangalie bondia Muhamad Alli alivo ndo utajua...lol

  ReplyDelete
 2. Basi ka-pointi kangu ka WANAWAZA NINI ntakaacha hapa.
  Nilipokuwa nawaza kuhusu masindano baina ya rekodi zetu nikazidi kukwazika. Binadamu wa sasa ni yule anayeamini kuwa KIZURI NI KILE KIFANYWACHO KWA UTISHO WA HALI YA JUU. Yaani anaamini kila kitu kinanoga kikifanywa katika "extreme stance". Ni tamaa hii hii iliyomfanya binadamu muandaa Olimpiki atengeneze track ya mwendo kasi wa hali ya juu iliyosababisha kifo cha mwanaOlimpiki wa Georgia.
  Tunaona watu wanavyojihatarisha maisha ili kuvunja rekodi. Kibaya ni kuwa chaingia katika maisha ya kila siku ya mwanadamu mpaka kwenye mapenzi ya wanandoa. Kama kuna anayefuatilia kesi za talaka anaweza kuelewa nisemalo.
  Lakini kwa hawa watunisha misuli nao ni yaleyale. Wanapozeeka utawaoea huruma. Niliona picha ya Gavana wa California ya karibuni akiwa kifua wazi na nimejaribu kuisaka sijaipata. Lakini mwili wake sasa hivi ni kama mfuko wa rambo uliokuwa umejaa maji kisha ukatobolewa. Yaani unavyoning'inia ndivyo kifua chake kilivyo. NI KINYAA.
  Lakini wacha niwape link ya mwanadada (na narudia tena MWANADADA) huyu Renee Toney kwa kufuata link hii (http://tnation.tmuscle.com/free_online_forum/sports_women_training_performance_sorority/this_is_not_right) uone watu wanakoelekea.
  TUSUBIRI TUONE WAKIZEEKA WATAKUWAJE.

  ReplyDelete
 3. "Tunaona watu wanavyojihatarisha maisha ili kuvunja rekodi. Kibaya ni kuwa chaingia katika maisha ya kila siku ya mwanadamu mpaka kwenye mapenzi ya wanandoa. Kama kuna anayefuatilia kesi za talaka anaweza kuelewa nisemalo"

  Mzee wa Changamoto, nilikuwa silielewi hili kuhusu wanandoa. Waweza kutoa ufafanuzi au unaogopa?.

  Ndiyo binadamu anazidi kushangaza siku hadi siku. Huwa na-TIVO kipindi kinachoitwa 1000 Ways to Die ambacho waandaaji wake wanadai ni matukio ya kweli. Ukitazama utashangaa mambo ambayo binadamu anaweza kufanya. Pia kipindi cha Dumbest People - ambacho humakinikia mada moja kila toleo mf. Dumbest criminals, dumbest drivers, dumbest thrill seekers...ukiangalia ndiyo unapata angalau "glimpse" tu ya huyu kiumbe tata aitwaye binadamu!

  Huyu jamaa wa kwenye link bado siamini kama ni mwanamke. Yaani....

  ReplyDelete
 4. binadamu wa leo

  hawa hufa vifo vya ajabu ajabu sana

  ReplyDelete
 5. Kaka Matondo.
  Nimekuwa nikisikia mambo ya ajabu juu ya matendo yaendeleayo ndani ya ndoa za wenzetu katika kuusika u-EXTREME.
  Mwezi uliopita nilikuwa naangalia Tv nikaona mke anayeomba talaka kwa kuwa mumewe amekuwa akimlazimisha kufanya mapenzi akiwa amemfunga pingu na kamba. Yaani alikuwa akitaka MKEWE awe kama mateka wakati yeye anafanya naye mapenzi.
  Nikajiuliza HIKI NI NINI?
  Na mume akasema (bila aibu) kuwa amechoshwa na mtindo wa mapenzi anaopata toka kwa mkewe kila siku. Anahitaji "style" tofauti.
  Kwa maana hiyo anapokataliwa mtindo huo wa kimateka anaamua kwenda kusaka "wa kulipia" mtaani.
  Lakini swali ni kuwa kwanini watu wanapenda EXTREME mpaka kwenye ndoa.

  ReplyDelete
 6. Halafu msisahau na Tigo hapa Bongo kwa sasa. Marraiges are falling apat because eti mke hataki kutoa tigo - sodomy...Sodomy now has become the measure of how much your wife, fiancee or girlfriend loves you. If you don't let your husband sodomize you, then he will got out to do it somewhere else. I believe this is one of the reason that is still fueling the HIV epidemic even though nobody wants to admit it.

  You will never see a cow trying sodomy but a human being (the intelligent one) have the audacity of calling the cow a beast! Very surprising!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU