NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, February 18, 2010

HAWA WALIWAZA NINI?????

 • Leo naingilia kipengele mashuhuri cha Mzee wa Changamoto cha Waliwaza Nini? Ati, hawa nao waliwaza nini mpaka wakaamua kuvaa nguo za aina hii? Ni fasheni au ni akili za binadamu kukosa akili? Matendo kama haya ni ya muhimu katika kumwelewa hasa binadamu ni mnyama wa aina gani.

1 comment:

 1. Hahahahaaaaaaaaaa. Asante Profesa kwa maswali.
  Hapa DC Metro tunaye mTanzania ambaye nguo zake ni za maandishi ambayo unaweza kujiuliza "aliwaza nini?"
  Nimemuona mara kadhaa kwenye shughuli za heshima, lakini alichovaa .......
  Binafsi nashindwa kufikiria waliwazazlo kuhusu mavazi ya namna hiyo. Lakini sina shaka kuwa nao wanawaza nivaavyo (maana haviendani na style zao)
  Ila hizi T-Shirts.....Duh!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU