NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, February 5, 2010

HEPI BESIDEI CCM KWA KUFIKISHA MIAKA 33!!!

 • Hongera CCM kwa kufikisha miaka 33 ya kuzaliwa leo. Unaposherehekea siku hii muhimu katika uhai wako ni vizuri ukakaa chini na kuainisha mafanikio yako ya miaka 33 iliyopita. Je, umefikia malengo uliyokuwa umejiwekea? Kama jibu ni hapana, jiulize ni kwa nini. Ati, mbali na kubakia madarakani tena na tena, malengo yako mapya (likiwemo lile lengo-mama la maisha bora kwa kila Mtanzania) utayatekeleza kwa vitendo na kuyafanikisha?
Ni hayo tu kwa leo. Hongera sana kwa kufikisha miaka 33. Nakutakia hepi besidei njema mkuu.

3 comments:

 1. Mtazamo wangu tangu mwanzo ni kwamba CCM ni pingamizi kwa mapinduzi. Bofya hapa.

  ReplyDelete
 2. Naamini hata wanaCCM hawapendi watu wakumbuke kuwa leo ni Birthdate ya chama.
  NI DENI ZAIDI YA SHEREHE.
  Kinachowafanya waonekane wanasherehekea ni UNAFIKI tu na si kingine.
  HERI YA KUONGEZA MWAKA MWINGINE WA KUTOTIMIZA AHADI

  ReplyDelete
 3. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!February 6, 2010 at 11:47 AM

  mh!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU