NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, February 11, 2010

MKEREKETWA WA HAKI ZA WANAWAKE...

  Ati, inakuwaje unapojaribu kuwapigania watu wasiohitaji kupiganiwa? Au wasiojali? Naona hawa mabinti vimobiteli wafanyakazi wa Hooters wanamshangaa huyu shujaa wao!

2 comments:

 1. Mwl. Masangu, swali lako linahitaji mjadala zaidi. Lakini je, kama ingekuwa ni mwanamke ndo amebeba bango hilo ingekuwaje?

  Je ni kweli kuwa hata wanawake wanaodai kutetea haki za akina mama huwa wanamaanisha hilo?

  mh!

  ReplyDelete
 2. Chacha, mi nimefurahi kukuona pichani na kisha kuwa wa kwanza kutoa maoni na kufuata blogu yako! Karibu katika ulimwengu wa kublogu.
  Kaka Masangu, ndivyo ilivyo yaani kakangu mwe, binadamu tunatofautiana muno, ndo kila anachokifanya mtu ye aona sawa alimradi hakivunji uhuru uliowekwa, basi inakuwa sawa kabisa il hali wengine wanaona sivyo asilani. Kero ya mwingine yaweza kuwa raha kwa mwingine, yaani wanadamu ndivyo tunavyotofautiana tena hivyo. Uhuru una yake mengi.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU