NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, February 18, 2010

MOLLEL - UJUMBE MZITO JUU YA GONJWA LA UKIMWI

 • Kwa nini maambukizi ya UKIMWI bado yanaendelea?
 • Ukimwi unaua hata wanakwaya na watunza hazina makanisani. Tafakari!

3 comments:

 1. Hawa hawatoki Kenya, Shengena gospel panorama wapo Arusha. Note: Shengena ni jina la safu ya milima ya kule Upareni.
  Hata hivyo nakufagilia kwa kuweka wimbo wenye ujumbe mzuri sana. Pig up waimbaji!!!
  Jotam

  ReplyDelete
 2. Anony - asante kwa ujumbe. Mimi nimeiona hii clip kwenye youtube na nikaiweka hapa kama ilivyo.

  Kumbuka pia kwamba watu wengi huku nje wanaamini kwamba Mlima Kilimanjaro (na hata mbuga za wanyama za Serengeti) upo Kenya. Kwa hivyo sishangai kuona kwamba aliyeuweka huu wimbo wenye vionjo vya kitamaduni wa Kimasai kasema ni wa Kenya. Wakenya wanajua sana kuitangaza nchi yao!

  ReplyDelete
 3. KWA KWELI HAO WAIMBAJI NI WATZ KAMA MCHANGIAJI WA KWANZA ALIVYOSEMA WANAITWA SHENGENA. WIMBO WAO HUU UPO KTK DVD YAO INAYOJULIKANA KWA JINA LA NAHAVACHE. NAHAVACHE KWA LUGHA YA KIPARE NI AKSANTE. AU HATA WAPARE WAPO KENYA.

  WAKENYA ONENI AIBU KIDOGO LO.

  NA WATZ TUCHANGAMKE KUJITANGAZA, ULE USIMI WA KIBAYA CHA JITEMBEZA UMEKUBWA NA WAKATI. ULIMWENGU WA SASA NI KUJITANGAZA (MARKETING)

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU