NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, February 19, 2010

NG'WANAMBITI - KUNA NINI HUKO MUSOMA???

Mataranyirato kwema?Video Hii Inatisha: Jihadhari

4 comments:

 1. kwa kweli inasikitisha sana Sijui ni mwisho wa dunia? Naomba Munyezi mungu aziweke roho za marehemu peponi amina.

  ReplyDelete
 2. Inabidi mkoa wa Mara tuuhamishie huko Darfur, kwa sababu unaitia doa Tanzania

  ReplyDelete
 3. @Chib: yawezekana hayo ulosema yakawa na ukweli ndani yake...lakini ushajiuliza kama yanayotokea katika nyanja za kila kitu Tanzania na Afrika...je tuchukue uamuzi kama huo?

  wa kuwafukuza mafisadi na kuwa weka kisiwani? Wasomi wasaliti wa nchi hii na africa watiwe roben island kwa miaka 27 wafanyie utafiti wao huko? n.k; n.k; n.k

  je yaweza kuwa ni sababu ya ombwe la 'uongozi' na dhamiri ya kweli katika kuleta maendeleo?

  Je wale wanafunzi huko marekani walofanya mauaji shuleni wangefanywaje?

  Bush (wote wawili) wafanyweje ama wahamishiwe wapi? Maswali ni mengi Chib... :-(

  ReplyDelete
 4. Jamani imani kwa watu imekwisha, binaadamu anachinjwa kama mbuzi!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU