NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, February 21, 2010

UJUMBE UMEFIKA BABA

1 comment:

  1. message sent.

    Nakumbuka mwaka 2007 nikiwa Vermont katika chuo cha SIT mmojawapo wa watoa mhadhara alikuwa mzee mmoja wa Massachusetts ambaye hana nyumba ya kuishi kwa kuwa halipi kodi.

    Alikataa kulipa kodi na hivo akakosa haki zake zote kama raia wa Marekani. Alisema kuwa hawezi kulipa kodi yake iende kuua watu Iraki, afghanstani na kwingineko :-(

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU