NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, March 2, 2010

BOEING YA A.T.C YAPATA AJALI MWANZA !!!

  • Ajali haina kinga ati!. Niliwahi kuligusia swala hili hapa na kasheshe kidogo hapa. Uzuri ni kwamba hakuna aliyepoteza maisha katika hatihati hii kule Mwanza. Bila shaka walipa kodi wa watajipigapiga tena na kununua ndege nyingine.
  • Picha zote ni kutoka blogu ya dada Flora. Maelezo zaidi kuhusu ajali hii yanapatikana hapa na hapa.

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU