NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, March 8, 2010

DEMOKRASIA NI NINI HASA?

Picha: Inatoka hapa.

Uchaguzi ndio huo umekaribia na mimi bado najiuliza. Demokrasia hasa ni nini? Ni kuwa na mfumo wa vyama vingi kama tulionao Tanzania? Je, ni ule uwezo wa wananchi kupiga kura kila baada ya miaka mitano? Ati, tuliyonayo Tanzania ni demokrasia?

Wamarekani huwa wananiacha katika kunguku kila mara wanaposema kwamba eti wako kila mahali duniani wakijaribu kueneza demokrasia.

1 comment:

 1. Tafsiri ya Demokrasia yategemea waiongeleaje, ukiwa na nani na ili kiwe nini.
  Wamarekani wanaamini kuwa unaweza ku"import" Demokrasia kitu ambacho ni NDOTO YA KUTUPWA.
  Hawajui kuwa demokrasia ya mmoja ni ubabe wa mwingine? Hawajui kumlazimisha fulani kufuata kile uitacho demokrasia ni kuwa dikteta kwake.
  Ngumu ku-define demokrasia lakini sijui kama kuna mahala ilipo.
  Ila ntaifanyia kazi na nikifanikiwa kupata tafsiri ya Demokrasia ntajitahidi kuiandika.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU